Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Ila wachawi balaa, half time walikua wanafukua kitu golin

Aseee lakini ni timu ya jeshi la wananchi naona jwtz watajitahidi kuwekeza sana , na leo naona wanajeshi walikua wengi uwanjani kushangilia timu yao
 
Tutarudi tu ligi kuu ni yetu
Mambo mengi sana huwa yanabadilika baada ya team kushuka daraja, team kukimbiwa na wachezaji hivyo kulazimika kusajili wa mitaani, wadhamini kukimbia, hizo ni changamoto ambazo huwa zinaonekana kuwa nyepesi ila zina uzito wake katika harakati za kurudi Ligi Kuu.
 
Lakini kwa hao mashujaa watacheza msimu mmoja tu halafu watashuka
 
Aseee lakini ni timu ya jeshi la wananchi naona jwtz watajitahidi kuwekeza sana , na leo naona wanajeshi walikua wengi uwanjani kushangilia timu yao
Nahisi hata yule jamaa aliempiga ngumi kocha wa Mbeya city ni mjeda kabisaa
 
Back
Top Bottom