Tumieni na nyie mbaki ligi kuu.Mnnaenda kuleta uchawi kwenye ligi kuu,badala ya viwango
Yaani live kabisa..Vibuyu zinafanya kazi yake😁
Achana nae huyu [emoji16][emoji16][emoji16]Tumieni na nyie mbaki ligi kuu.
Nyie wapuuzi kabisa, siku ile Yanga amewapa ofa mbaki ligi kuu mkaanza kutafuta sifa kutokea mitaa ya Mama John, Mpaka Ifisi kwa mzungu wenu wa mchongo.
Tumieni na nyie, vita ni vita MwalafyaleKwa ninachokiona hapa uwanjani, Uchawi upo na watu wa kigoma wanaujua
Ndo anashuka hivyo. Kwa hiyo watu wa SIMBA hamuwezi kuamini maana Mashujaa ni wababe wenu. hapo tayari mushapoteza point 4 za uhakika msimu ujao.Mbeya city hawashuki daraja hii haikubaliki
Mbeya City wanafunga goli lao la kwanza
Kila mmoja ashinde mechi zake.Achana nae huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tafuteni comment yangu hapo juu nilitabiri Mbeya city atafungwa goal 1 na shughuli inakwisha