Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Poleni yanga hongereni kwa kufika hapo

Asante na kwaheri maana naona mikia wamefufuka!
Wale waliosema Yanga watafungwa mvua ya magoli wako wapi?
Nyie jiburudisheni tu lakini vijana wamepiga kazi ya ukweli.
 
Nyie Mkia FC mwakani jiandaeni tena kuishuhudia Yanga na Azam...

Naona mnapiga kelele tu humu...

Mwanzoni mlianza na Yanga itafungwa magoli mengi kina sembo na mwenzake yule mwenye maID's mengi sijui anaitwa Genta nini...
 
Last edited by a moderator:
tumetolewa but am so proud na timu yangu yanga! Tinaenda champions league next yr kuna some additional kidogo ya wachezaji..kipa mido mkabaji na goal score tu...tutafika mbali inshaaalah

Huko ndio game moja tu chali
 
Kuna mijitu ina roho mbaya humu, imejawa na roho za ubinafsi. Kweli unaombea timu ya nyumbani ifungwe sijawahi kuona roho za shetani kama hizi. Ndiyo maana nchi inakosa maendeleo kutothamini vya nyumbani... Pumbavuuuu !!

Nasema hiviii, yanga wapigwe tu, timu yoyote itakayocheza na yanga, nashabikia hiyo timu, hamna unafki hapa!
Vya nyumbani naithamini simba na yeyote anayeipinga yanga!
 
Tumetolewa kwa taaabu sana, bahati haikuwa yetu.

Kutolewa kuko palepale, Yanga walitolewa ktk pambano la kwanza Dar, huko Tunisia ilikuwa kukamilisha ratiba tu.

Kwa kawaida mechi ya kwanza ndio hutoa mshindi kwa asilimia 90, ukishindwa mechi ya nyumbani basi ujue ndio matoke rasmi.
 
Sasa sijui wasingewekewa governor (wangekuwa 11) sijui ingekuwaje?

wahapa hapa fc mtaendelea Na kutukodolea macho kwenye runinga tukikipiga kimataifa wakati huo nyie mnacheza ndondo Na kariakoo veterani
 
Tanzania number 1 ni Yanga. Azam kamata 2. Waliobaki waendelee mchangani. Tabu iko wapi?
 
Msemaji wa Simba alisema Yebo ikiwatoa waarab, atatembea na Boxer! Hivyo kesho yuko huru kuvaa suruali, maana wameshindwa kuwatoa waarab

nimepenyezewa habari naskia jamaa msemaji wa mikia fc ni shoga, kuna wachezaji wa thimba akiwemo hokwi anamgonga jamaa tigo yake, mara kwa mara huwa anapenda kuongea kukaa uchi hasa sehemu zake za kunyea
 
Kuna mijitu ina roho mbaya humu, imejawa na roho za ubinafsi. Kweli unaombea timu ya nyumbani ifungwe sijawahi kuona roho za shetani kama hizi. Ndiyo maana nchi inakosa maendeleo kutothamini vya nyumbani... Pumbavuuuu !!
pumbavu mwenyewe,muolewe nyinyi nihuzunike miye
 
Huwa nasema hapa kila siku ushindi wa Yanga hasa hapa nyumbani ni mipangomipango mno...na haya ndiyo matokeo yake.
 
Hii timu Yanga wasipoivuruga, mwaka kesho itafika mbali kwenye CAF CL.
 
nimepenyezewa habari naskia jamaa msemaji wa mikia fc ni shoga, kuna wachezaji wa thimba akiwemo hokwi anamgonga jamaa tigo yake, mara kwa mara huwa anapenda kuongea kukaa uchi hasa sehemu zake za kunyea

Daah, kufungwa kumekufanya kulukwa na akili pole sana...
 
Hii timu Yanga wasipoivuruga, mwaka kesho itafika mbali kwenye CAF CL.

Sasa wewe ndo naona unaamka, kule ni champions ligi, huku mazembe kule kaizer chiefs huku al ahly hapa enyimba!
Ndala chmpions ligi hata wakifunga goli moja itakuwa ni mafanikio makubwa sana kwa timu yao!
 
nimepenyezewa habari naskia jamaa msemaji wa mikia fc ni shoga, kuna wachezaji wa thimba akiwemo hokwi anamgonga jamaa tigo yake, mara kwa mara huwa anapenda kuongea kukaa uchi hasa sehemu zake za kunyea

Ngoja tusubiri povu la msemaji wetu yuleeee wa ripoti maalum enzi zileeee akiwa paleee VTI, kwa sasa ni msemaji wetu hapa Ndala FC! Tunasubiri ngonjera na majigambo.

Ama tukiacha utani huo hapo juu,kwa leo to be franky,Yanga wamejitahidi kwa kweli,ila bahati haikuwa yao!
Karibu home tukutane Chandimu na Ndondo Cup,ndiyo uwezo wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…