Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumetolewa but am so proud na timu yangu yanga! Tinaenda champions league next yr kuna some additional kidogo ya wachezaji..kipa mido mkabaji na goal score tu...tutafika mbali inshaaalah
Loh! Asavali wametoka, mtaani ingekuwa tabu.
hivi kumbe mikia mpo wengi namna hii!!
Yanga waarabu hamuwawez tuachieni cc wazee wa mtani jembe
Mmewatoa mara ngapi na wao wamewatoa mara ngapi?
Asante cynic kwa kuweka hyo data wanamsimbaz tunaenda kwa ushahidi na kumbukumbu zetu kuanzia michuano ya afrika,kagame,tasker,mtani jembe,mapinduzi cc nyinyi ndala hamna histori nzuri zaidi ya ligi kuu
Tutakutana nao kesho Taifa,watapotea jumlaaa!