Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Na Kagame hatujachukua kitambo sasa ila bado ni mabingwa wa kihistoria, tukianza kulichukua tena ndo basi tena ndala vumbi kwenye kona tena kwa mbaaaaaliiiiii!

Nasikia mmebebwa safari hii'nibebe nibeeee nibembelelezeeeeeeee tuwee pamojaaaa(kitandani)'.
 
Yanga wajipange upya michuano ijayo wajilaumu wao wenyewe kwa kuto tumia nafasi vizuri ukizingatia wapinzani walikuwa pungufu. Ila wachezaji wabongo nao waache chips mayai hizi yaani hawana nguvu kabisa ukilinganisha na wapinzani
 
Kutoka kwenu nyie ndala fc kutapelekea simu yangu itulie maana tulikua hatupumui kila dakika yanga.Anyway mmeliwa kwa tabu sana.
 
Yanga wajipange upya michuano ijayo wajilaumu wao wenyewe kwa kuto tumia nafasi vizuri ukizingatia wapinzani walikuwa pungufu. Ila wachezaji wabongo nao waache chips mayai hizi yaani hawana nguvu kabisa ukilinganisha na wapinzani

hv ushnd utapatikana namna hii kweli???
 
hv ushnd utapatikana namna hii kweli???
Hehehehe!!!! ndo maana yule mido alikuwa anawasumbua yaani mtu mmoja anawekea msuli wachezaji wawili hadi watatu na kuondoka na mpira bila tabu yoyote
 
ww mtu una game halafu unapiga kiepe yai,jamaa alikuwa akiweka msuli hakuna anayechukua mpira
msosi mihimu wachezaj wetu sijui watajifunza lini?
 
ww mtu una game halafu unapiga kiepe yai,jamaa alikuwa akiweka msuli hakuna anayechukua mpiramsosi mihimu wachezaj wetu sijui watajifunza lini?
unajua mchezaji mpira mbali na kipaji na uwezo, nguvu au stamina ni muhimu sana na wenzetu wanalitilia mkazo sana ndo maana hata Ngassa aka Anko hakufaulu mazoezi baada ya kushindwa kummaliza kuku
 
tuache utani na ushabiki, Yanga wamecheza mpira mwingi sana na wanastahili pongezi na mapokezi ya kishujaa, laiti Etoile wasingebadili mikakati ya kujaza viungo wengi kipindi cha pili na lati Yanga wasingetumia nguvu (stamina) kubwa kipindi cha kwanza wenyeji wangepotea leo

lazima kuna kitu zaidi Yanga watakua wamejifunza katika kukabili Waarabu na hii ni kwa sababu mwakani ni wawakilishi wetu tena, ila kikosi hiki kiendelee isipokwa beki tatu inafaa kubadilishwa na kuwekwa mpambanaji na mwenye kujua majukumu yake uwanjani hasa kuisaidia timu wakati mgumu
 
Haya ndio mahaba niue, yanayoangamiza mpira wa inchi hii!!!, kitu cha mhimu hapa je malengo yamefikiwa?? kiwango cha yanga kwa mechi ya leo kilikuwa kizuri ila wamekutana na timu bora, lakini sio kutwambia eti wakapokelewe ki shujaa!!! kwa lipi? hapa ndipo tunapotiana ujinga. sisi tuendelee na ligi zetu tu lakini kwa level ya kimataifa bado sana,
 
haya ndio mahaba niue, yanayoangamiza mpira wa inchi hii!!!, kitu cha mhimu hapa je malengo yamefikiwa?? Kiwango cha yanga kwa mechi ya leo kilikuwa kizuri ila wamekutana na timu bora, lakini sio kutwambia eti wakapokelewe ki shujaa!!! Kwa lipi? Hapa ndipo tunapotiana ujinga. Sisi tuendelee na ligi zetu tu lakini kwa level ya kimataifa bado sana,
bado sana hasa simba leo kumfunga azam ?ndotooooooo. Simba na nafasi ya tatu hii itakua ahueni sana kwa wenye nafasi ya tatu.

Asanteni sana Etoile du Sahel kwa kazi mujarabu mlioifanya, nawatakia kila la kheri katika haya mashindano.
 
Haya ndio mahaba niue, yanayoangamiza mpira wa inchi hii!!!, kitu cha mhimu hapa je malengo yamefikiwa?? kiwango cha yanga kwa mechi ya leo kilikuwa kizuri ila wamekutana na timu bora, lakini sio kutwambia eti wakapokelewe ki shujaa!!! kwa lipi? hapa ndipo tunapotiana ujinga. sisi tuendelee na ligi zetu tu lakini kwa level ya kimataifa bado sana,
nakuunga mkono lakini kwa walipofikia si haba ukilinganisha na wawakilishi wengine na sina mahaba kuanzia kwenye avatar
 
Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa fitina baada ya dk 90 au 120 za kusukuma gozi. Matangazo haya yamewajia kwa hsiani ya Watu wa JAMII FORUMS. Kwa ushirikiano mkubwa na wadhamini wetu...

dk ya 35 ETOILE 1 SISI(YANGA) 0

MPIRA UMEKWISHA MIARABU IMESHINDA MOJA 1.. SISI YANGA 0 ..... HII MIJAMAA NEXT TIME TUIITIE SIMBA TU. YANGA TURUDI KUJIPANGA KWA MAKOMBE YA HAPA HAPA AFRICA MASHARIKI NA BONGO.

kweli kaz ya kimataifa tuachien Simba,mabingwa wa kihistoria kagame
 
ww mtu una game halafu unapiga kiepe yai,jamaa alikuwa akiweka msuli hakuna anayechukua mpira
msosi mihimu wachezaj wetu sijui watajifunza lini?
midfield yao uilinganishe na 'makapu'
 
Asanteni sana Etoile du Sahel kwa kazi mujarabu mlioifanya, nawatakia kila la kheri katika haya mashindano.
najua tulitarajia makapu angerudi na kapu la magoli
 
unajua mchezaji mpira mbali na kipaji na uwezo, nguvu au stamina ni muhimu sana na wenzetu wanalitilia mkazo sana ndo maana hata Ngassa aka Anko hakufaulu mazoezi baada ya kushindwa kummaliza kuku
Ngassa aliambiwa aje aongeze mwili akaongeza mke na unaona jinsi alivyokwisha ghafla kabla ya kwenda 'Tanga'
 
Back
Top Bottom