Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Yanga ..mhnn ..Ngoja tujipa faraja kwa hizi mechi:.Simba SC 2–1 Enyimba
Simba SC 1–0 ASEC Mimosas
Simba SC Tanzania 4–1 Botswana Botswana Defence Force XI
 
Ama kweli uchawi hauvuki bahari..teh teh..vyura wameliwa tyming.!!
 
tumetolewa but am so proud na timu yangu yanga! Tinaenda champions league next yr kuna some additional kidogo ya wachezaji..kipa mido mkabaji na goal score tu...tutafika mbali inshaaalah

Ile itakuwa champions ligi, sio hii caf mliyogonga mwamba!
Kule yanga hamna chenu, mnaenda shiriki raundi ya 1 tuu.
 
Vijana wa Jangwani mmefanya kazi tuliowatuma,bahati ilikuwa kwao lakini wametambua Yanga ni moto.Mashabiki wao walikuwa wanamwita refarii amalize mpira wakiogopa moto wenu.
 
Masikini yanga walibeba na Jelly ya kulainisha kama walijua vile! Tuone atasema nini sasa hivi afisa habari!
 
Asante cynic kwa kuweka hyo data wanamsimbaz tunaenda kwa ushahidi na kumbukumbu zetu kuanzia michuano ya afrika,kagame,tasker,mtani jembe,mapinduzi cc nyinyi ndala hamna histori nzuri zaidi ya ligi kuu
 
Na Kagame hatujachukua kitambo sasa ila bado ni mabingwa wa kihistoria, tukianza kulichukua tena ndo basi tena ndala vumbi kwenye kona tena kwa mbaaaaaliiiiii!
 
Back
Top Bottom