Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

yani yanga akitoka leo ni wenyewe tu
 
Tuone Javu atakuja na lipi jipya...
Sherman katoka...
 
waarabu wanapoza mpira na kufunga njia,tatizo yanga wanakosa njia mbadala
 
Orlando pirates vs cf mounana game nzuri sana 51min OP lead 2-0 agg 4-2
 
Tambwe anapiga shuti mtoto...linaishia kwa kipa
 
dk ya 26 Yanga wajitahidi kusaka bao.
 
washaanza mbinu yao ya kujidondosha
 
Yanga bureeee kabisa, mtu tisa lwa kumi tena mtu muhimu katolewa ila bado jasho mpaka lwenye meno, kweli nimeamini kununua mechi kunalemaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…