Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

1-0 japo Yanga wana determination kubwa sana hata wakitolewa
 
Game linaonyeshwa live channel ya Tunisia Nat 2

Game lipo balance Yanga wanajitahidi sana tu
 
Yahoo.. mimi ni Yanga damu hiyo heading nimeweka hivyo ili in case nmekosea jina watu waelewe kuwa ni watu wa kutokea tunisia. maana najua atakuja kukosoa tu spellings.
 
Yanga anacheza vizuri kuliko hata game ya mwanzo...

Anamiliki mpira, anakaba vizuri na wachezaji wana adabu...
 
Back
Top Bottom