mhina ngalawa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 347
- 157
du jamani wafunge basi hata moja tu bora iwe sare.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ngoma huenda ikafika dk120 maana Yanga wana nafasi kubwa sana ya kupata bao sasa hivi.
Muda umeisha, mikia waanze kushangilia tu.
Yanga byebye baba jeny...
Muda umeisha, mikia waanze kushangilia tu.
Leo umekuwa mpole...
Mrudi majumbani sasa maana mpira utakua Mpiiiira!
Tumetolewa kwa taaabu sana, bahati haikuwa yetu.
Yaani hawa mabwege tumeshindwa kuwafunga...!!!
Siamini...
Mkuu bado, kuna zile dakika za majeruhi ambazo refa mganda anaweza kuongeza hata dk 5.
Ahsante Yanga kwa kutufikisha hapa, bahati si yetu hii tunatoka tu. Ila mmecheza vizuri sana.
karibuni tena nyumbani...
Pole nifah zile zawadi, zimeyeyuka dear. Ila Masuke atakupoza zawadi hata ya wiki.
Na nyie mikia msijifanye ndiyo mnaanza kuongea, mjiulize nyie mko wapi???
alamsiki...
#teamyanga #
hata kama wangebaki wawili na yanga wabaki 11 bado hamna uwezo
Like like like like...#teamSimba laiti mngeipata hii nafasi msingetuaibisha