LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Michel Yombayomba ndio anastahili sanamu ya heshima. Kaleta gold medal ya olimpic hapa kwetu. Sina uhakika kama yupo hai au laaa
 
Michel Yombayomba ndio anastahili sanamu ya heshima. Kaleta gold medal ya olimpic hapa kwetu. Sina uhakika kama yupo hai au laaa
aisee ngoja waje wanaomjua.

Kwani ile Familia ya Kina Matumla waliishia wapi?
 
Mwakinyo sio Professional Boxer, hana vigezo

Ni Bondia wa kawaida sana anajitafutia mapambano marahisi pia anapendelewa na Majaji wa Kitanzania.
 
Anavaaga nguo za asili na vichupi hivi. Mara nyingi hubeba na ngao ya asili hata kwenye msiba wa Magufuli nilimuona na hata pia kwa Alikiba na Samata kule.

Anavaaga nguo za asili na vichupi hivi. Mara nyingi hubeba na ngao ya asili hata kwenye msiba wa Magufuli nilimuona na hata pia kwa Alikiba na Sam
unamzungumzia nani? hujasomeka bado.
 
Mwakinyo sio Professional Boxer, hana vigezo

Ni Bondia wa kawaida sana anajitafutia mapambano marahisi pia anapendelewa na Majaji wa Kitanzania.
This is too much mkuu.
Are yu jealous ama?
 
Yani pambano la Antony Mayala ambaye kapewa taarifa siku saba kabla ya pambano na isitoshe sio weight yake hicho ndio kipimo sahihi cha Mwakinyo? sisi Watanzania tunapenda sana kujitekenya na kucheka wenyewe japokuwa Mwakinyo sio bondia mbaya ila kile sio kipimo sahihi cha kumpa sifa zote hizo .
.....
Kwa jinsi alivyojiandaa Mwakinyo yule hakutakiwa kufika hata round ya pili kaja kumpiga round ya tisa mtu aliyepewa taarifa siku saba kabla ya pambano
 
Kwa Taarifa nilizopata Ni Kwamba Mwakinyo amecheza Mapambano ma4 Nje ya Nchi. Kwamba aKapingwa moja akashinda ma3
.....
Na Pambano alilopoteza nje ni Urusi dhidi ya Lendrus Akopian 2017 alishindwa kwa point round 10
....
Na pia Botswana alitwaa ubingwa wa WBA Pan African Super Walter Title dhidi ya Anthony Jarmann wa Namibia 2017/08...
 
so kumbe unamkubali kiaina sio. big up
 
Back
Top Bottom