Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamchukue Mayala wako pale chini😂😂
Ahsante sana mkuu kwa updates uko vizuri, ufike salama home! Good night toonaondoka sasa eneo la Tukio.
Muwe na Usiku mwema wadau
Ahsante kwa kutuhabarisha ubarikiwe!naondoka sasa eneo la Tukio.
Muwe na Usiku mwema wadau
Ahsante kwa kutuhabarisha ubarikiwe!naondoka sasa eneo la Tukio.
Muwe na Usiku mwema wadau
Nani huyo mkuu?HUYU JAMAA ANAVAANGA VINGUO VYA AJABU HUWA ANAPEWA AIRTIME SANA SIJUI KWANN.
Aisee how i wish ningekuwepo pia, hope umeenjoy mnooAsante sana, nimewaona watu wa kubwa hapa mawaziri kadhaa.
So ni vizuri.
Shukrani sana Mkuu kwa kutuletea "Rumble in Dar" mubasharanaondoka sasa eneo la Tukio.
Muwe na Usiku mwema wadau
Mkuu huyo Mayala aliulizwa with only 8days notice unaamini utaweza pambano akasema a boxer anatakiwa kuwa tayari muda wote so he's ready, asijitetee hapo hatukumfunga kamba tukamvuta aje kaja mwenyewe😜 pia Mwakinyo mwenyewe anasema alijandaa kupigana na mwingine siyo huyo so wote hawakujiandaa, hivo bado Mwakinyo yuko vizuri......Was not my division...only 8 days notice, he has all the time to prepare himself.....
Mi sioni ubora wa Mwakinyo kwa kauli hizo za jamaa, tujaribu tena jamani!
Mwalimu wa Mwakinyo anasema walifanya maandalizi ya miezi 4 hata kabla ya Korona walijua kuhusu pambano.Mkuu huyo Mayala aliulizwa with only 8days notice unaamini utaweza pambano akasema a boxer anatakiwa kuwa tayari muda wote so he's ready, asijitetee hapo hatukumfunga kamba tukamvuta aje kaja mwenyewe😜 pia Mwakinyo mwenyewe anasema alijandaa kupigana na mwingine siyo huyo so wote hawakujiandaa, hivo bado Mwakinyo yuko vizuri.
Watangazaji walisema wameongea naye before pambano ndiyo akawajibu hivo! Aache njaa njaa atakuja kupasuliwa uso😀 ila kiukweli kajitahidi bana hadi nilipata wasiwasi kwamba Mwakinyo anaweza loose pambano. Kajitahidi.Mwalimu wa Mwakinyo anasema walifanya maandalizi ya miezi 4 hata kabla ya Korona walijua kuhusu pambano.
Si kweli kwamba aliulizwa, alitaarifa kuhusu kuhitajika kupambana siku 8 zilizopita, pili si bondia aliye kwenye division aliyo Mwakinyo, jamaa akasema.
Maana yake ni kuwa, jamaa alikuja kuitumikia pesa aliyokubali kuchukua kutokana na njaa, ametimiza jukumu lake.
Ubaya ni hapo sasa, sio wa division hiyo, pili ni siku nane tu za maandalizi; sasa angekuwa wa division hiyo na maandalizi ya kutosha, sioni tungechomoka vipi! Round 9, kila round imesimamia siku moja ya taarifa!
Dada, kati ya Tanga na Mbeya, wewe ni mwenyeji wa mkoa gani? Lol
Kweli jamaa angekuwa na ngumi nzito, pambano lingeishia raundi ya kwanza.Watangazaji walisema wameongea naye before pambano ndiyo akawajibu hivo! Aache njaa njaa atakuja kupasuliwa uso😀 ila kiukweli kajitahidi bana hadi nilipata wasiwasi kwamba Mwakinyo anaweza loose pambano. Kajitahidi.
Ebu guess mimi ni wa mkoa gani mkuu😀😀