LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Ngumi zinapigwa hapa...Mayala anajitahidi.
 
Round ya Nne imeisha sasa inaingia ya 5 mpambano bado ni mkali sana, Na matumaini kwa Mwakinyo sio ya kujidhibitishia sana.

Huyu Mayala naye ni mgumu.

Inaendelea raundi ya 5 sasa
 
Faida ya Urefu inamsaidia Mayala kwa kiasi fulani hivi
 
Piga nikupige inaendelea hapa na raundi ya 5 inaisha hapa, mpambano ni sawa sawa kwa mtazamo wangu.
 
Ngumi zinaendelea hakuna aliye elemewa hapa
 
Wote nguvu ni kama sawa.
Mwakinyo ana mpa ngumi za fasta fast hspa
 
Back
Top Bottom