Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

samata kapiga chenga mabeki akaanza kutafuta penalty,ni bao la wazi kabisa
 
Go mnyama go! Tupo pamoja! Simba wakimarisha kati tunatoka mrithi leo!
 
kwenye soka chochote kinawezekana,tusubiri hizi falsafa za soka zifanye kazi sasa.
 
dah! hapa kwangu umeme umekatika tanesko ishaninyima raha tena.
 
Naona kama simba wakiendelea hivi itakua aibu tutachapwa nyingi leo.
 
Back
Top Bottom