Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Mbona yanaingiaingia tu? Simba inataka kufanya kama Yanga 5-5??
 
Mbona mnatuchanganya Mnyama kafufuka Bado 3 ndio nini yani Ngapi Ngapi 1-1? Simba Taifa Kubwa wacheni uoga Pigeni hao wakapate Kikombe kwa Babu.
Hujaelewa? half ya kwanza TP mazembe ilifunga goli la kwanza, baada tu ya mapumziko Simba wakasawazisha na pale pale TP Mazembe ika funga goli la pili. Hiyo ndio hali halisi hadi sasa. Kwa Simba kuendelea, wanahitaji wafunge tano bila kufungwa lingine.
 
Nimekupata sasa waambie hapo uwanjani washangilie kama Liverpoolfc alafu warudi kama Red Devil wapige kandanda kama Arsenal + Barca tunataka ushindi bwana.
 
tuache unazi... simba wamejitahidi sana, mazembe si kama yanga
 
Nimekupata sasa waambie hapo uwanjani washangilie kama Liverpoolfc alafu warudi kama Red Devil wapige kandanda kama Arsenal + Barca tunataka ushindi bwana.
Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?
 
Hakuna si kama Yanga au nanihiu bwana Lazima tujifunze kumpiga mtu home! Simba wanatuangusha kama Mshabiki wa Simba inauma kwakweli.
 
Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?

Hapo mkuu sasa hivi nime Freeze tu hata sinajengine la kusema lol! hata mtoto ukimtuma Gengeni anarudi kamili na vitu sababu anaviimba ndimu 2 nyanya 3 kisichorudi ni change tu anayonunulia pipi......
 
Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?
Ushauri mwingine ni kama ufuatavyo: Uongozi wa Simba ugangamale kuhakikisha TP Mazembe inatolewa nje ya michuano hii baada ya kujaribu kuhonga refariii kwenye mechi yao ya Lubumbashi. Hiyo ndio iwe back up plan yao kama Simba aiwezi piga goli 6.
 
SOka la Bongo bado saaana linahitaji overhaul kubwa saaaaana tu
 
Simba wamepunguza kasi! Goli sita si mchezo.
 
Kengine nimestukia Soka letu kokote kule si Simba ma winger ni wabovu wengi ni kama Lunyamila wanakimbia wanatizama majani wakiinuwa uso hawajali striker yupo au hayupo linapigwa tu.... kama Taifa stars Ngassa anakimbia tu speed kubwa kama hajaangushwa na upepo basi anapiga cross hakuna hata mtu baada kutuliza kwanza kusubiri pia watu wajae kama kafika Sehemu z wing peke yake. Kengine Wenzetu wakifika sehemu za Wing wanataka kupiga cross Utaona Middle zetu zinajibana na mabeki kama wao ndio striker wa upande wa pili wanabaki ku gongana mpira unabaki nje ya area inapigwa moja ndani...
 
Back
Top Bottom