Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
Hujaelewa? half ya kwanza TP mazembe ilifunga goli la kwanza, baada tu ya mapumziko Simba wakasawazisha na pale pale TP Mazembe ika funga goli la pili. Hiyo ndio hali halisi hadi sasa. Kwa Simba kuendelea, wanahitaji wafunge tano bila kufungwa lingine.Mbona mnatuchanganya Mnyama kafufuka Bado 3 ndio nini yani Ngapi Ngapi 1-1? Simba Taifa Kubwa wacheni uoga Pigeni hao wakapate Kikombe kwa Babu.
Hujaelewa? half ya kwanza TP mazembe ilifunga goli la kwanza, baada tu ya mapumziko Simba wakasawazisha na pale pale TP Mazembe ika funga goli la pili. Hiyo ndio hali halisi hadi sasa. Kwa Simba kuendelea, wanahitaji wafunge tano bila kufungwa lingine.
Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?Nimekupata sasa waambie hapo uwanjani washangilie kama Liverpoolfc alafu warudi kama Red Devil wapige kandanda kama Arsenal + Barca tunataka ushindi bwana.
Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?
Ushauri mwingine ni kama ufuatavyo: Uongozi wa Simba ugangamale kuhakikisha TP Mazembe inatolewa nje ya michuano hii baada ya kujaribu kuhonga refariii kwenye mechi yao ya Lubumbashi. Hiyo ndio iwe back up plan yao kama Simba aiwezi piga goli 6.Niliwaambia washangilie kama ulivo sema, Simba tukafunga moja (ikawa 2-2) ila mashabiki wakatuangusha tena, sasa Mazembe 3 simba 2. Kwa kushinda tushinde sita. Unaushahuri mwengine mkuu?
simba kabong'oooooa
Mazembe kamtia d*le