Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

yanga beki zake kama miguu imekufa ganzi vile,ama jana walikunywa kidogo
 
Hili galasa lilitaka kushinda tena.
 
Hizi mechi zina siasa zake. Unaweza ukakuta kuna mzee wa Yanga amegombana na kiongozi mmoja tu wa Yanga, basi anakimbilia kuharibu mambo!
 
Dakika ya 35

Simba 1-0 Yanga

Simba wanafanya sub, anatoka Henry Joseph anaingia Ramadhan Chombo
 
kitendo cha kumtoa Henri Joseph na kumuingiza Redondo; sijakielewa kabisa...........Simba wamenyimwa Penati ya wazi.
 
Mkude utamuua Kaseja, bado mwenzetu ingawa yuko Yanga.
 
Namtafuta MWEKUNDU aje anikabidhi mkewe mapemaa kabla WATU8hajaniwahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…