engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
yanga beki zake kama miguu imekufa ganzi vile,ama jana walikunywa kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida mkuu,,leo atuwapi nafasi yaku DROO MAPEMA,,MAANA MNAONGEA SANA,,,,vile vile mpira sio majina ,,mpira ni ujuziMkuu mbona una jazba? Mpira haujaisha.
Mashabiki wa Yanga wametulia kama wamemwagiwa tindikali..
Pole sana mkuu utaharibikiwa mpaka sikukuu ya krismasi si wikendi.Hii Weekend inaweza kuniendea vibaya.!!
Hivi mkishinda hadi mwisho, Rage si ataonekana lulu!
Habari yako Watu nane
kitendo cha kumtoa Henri Joseph na kumuingiza Redondo; sijakielewa kabisa...........Simba wamenyimwa Penati ya wazi.