Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hizi mechi zina siasa zake. Unaweza ukakuta kuna mzee wa Yanga amegombana na kiongozi mmoja tu wa Yanga, basi anakimbilia kuharibu mambo!
Simba wamekosa goli la wazi..
Ndio siasa za soka la bongo.Hizi mechi zina siasa zake. Unaweza ukakuta kuna mzee wa Yanga amegombana na kiongozi mmoja tu wa Yanga, basi anakimbilia kuharibu mambo!
kitendo cha kumtoa Henri Joseph na kumuingiza Redondo; sijakielewa kabisa...........Simba wamenyimwa Penati ya wazi.
Simba wamekosa goli la wazi..
Yanga washaanza kubebwa
Simba tukijitahidi tunashinda mechi hii.
Namtafuta MWEKUNDU aje anikabidhi mkewe mapemaa kabla WATU8hajaniwahi.
bilashaka zitakua ni sub 6Halafu sijajua wamekubaliana sub ngapi maana anafanya sub za haraka haraka sana
....moja mkononi ni bora kuliko 5 unazozitafuta....mark my words..Daylight dream. Utaduwaa leo wewe na Maharage wenu.