Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Hizi mechi zina siasa zake. Unaweza ukakuta kuna mzee wa Yanga amegombana na kiongozi mmoja tu wa Yanga, basi anakimbilia kuharibu mambo!

Hapana Mkuu, ni mpira tu. Baada ya Simba kupata bao, Yanga tumepotea kabisa.
 
Me simba Mke wangu Yanga. Timu itakayofungwa itagharamia chakula home mwezi mzima. Yelewiiii.. Mama watoto kabuuugi
 
images
 
Hizi mechi zina siasa zake. Unaweza ukakuta kuna mzee wa Yanga amegombana na kiongozi mmoja tu wa Yanga, basi anakimbilia kuharibu mambo!
Ndio siasa za soka la bongo.
 
kitendo cha kumtoa Henri Joseph na kumuingiza Redondo; sijakielewa kabisa...........Simba wamenyimwa Penati ya wazi.

Halafu sijajua wamekubaliana sub ngapi maana anafanya sub za haraka haraka sana
 
So far Simba wamecheza vizuri sana...

Yanga hawako makini uwanjani...
 
...dk 40

MTANI JEMBE,

Simba 1-0 Yanga
 
Namtafuta MWEKUNDU aje anikabidhi mkewe mapemaa kabla WATU8hajaniwahi.

Mimi nimeshapiga kambi hapa kwake Kinondoni Studio...

Kwa mbali nasikia kelele za mwanamke analia...sijui ndio huyo bi mkubwa!!!
 
Simba wanacheza sana faulo, refa aanze kutoa kadi.
 
Back
Top Bottom