Hatukubali ni mkeo tu.Ombi...jaman pale pa mke wangu wekeni nam bet housegirl wetu
Acha kupenda vibovu.
nGRRRrrrrrr!!!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mpira haujaisha mkuu.., ingawa leo ni kama "sio sisi", naamin vijana wanaweza kurudi kivingine kama wakiamua.Popote ulipo mwny jina la ACCOUNT FULL, Hii inakuhusu! Ulisema tukiwafunga utaomba upigwe Ban ya wiki 1, So bila shaka unajua kinachoendelea, sasa Jiandae kwa hiyo BAAAN! Hahahaha simba bana
duh leo full stress
Mbona unatetereka katika viapo vyako? Usihofu, kama Simba walisawazisha mabao matatu, kwa nini Yanga wasiweze kusawazisha na kuongeza la tatu!
Mkuu ni aina gani hiyo ya kushangilia....?
Au ni aina ya kulia...?
habari yangu ni nzuri sana ikichagizwa na matumaini ya ushindi siku hii ya leo...
habari ya kwako pia?
Yanga for Life
Simba timu, funga Yanga 6-0.
Hatukubali ni mkeo tu.
Simba anaunguruma nchini Tanzania.
Ataungana na #KITOABU . Chezea Mnyama unyamani weye? SimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhPopote ulipo mwny jina la ACCOUNT FULL, Hii inakuhusu! Ulisema tukiwafunga utaomba upigwe Ban ya wiki 1, So bila shaka unajua kinachoendelea, sasa Jiandae kwa hiyo BAAAN! Hahahaha simba bana
Ngasoka kwa kweli.....hasa baada ya kupewa ile Penalty
luhende mzuri mkuu, sema ndio hivyo tena, kosa limetughalimu.Yule aliesababisha Penalty asipewe tena Namba.
Matumaini yangu yamepotea kabisaaaaaaaaaaa
Mkuu na wewe ni Simba? Ushindi una raha zake, anyway Simba hawajashinda, wanaongoza.
hapo ambaye amekosekana ni Okwi labda akiingia anaweza kuwafuta ''makamasi'' kwani najua kwa aibu ''machozi'' hawana.Huku Ngasa, kule Okwi, hapa Niyonzima, pale Kiiza.