Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Popote ulipo mwny jina la ACCOUNT FULL, Hii inakuhusu! Ulisema tukiwafunga utaomba upigwe Ban ya wiki 1, So bila shaka unajua kinachoendelea, sasa Jiandae kwa hiyo BAAAN! Hahahaha simba bana
mpira haujaisha mkuu.., ingawa leo ni kama "sio sisi", naamin vijana wanaweza kurudi kivingine kama wakiamua.
 
Popote ulipo mwny jina la ACCOUNT FULL, Hii inakuhusu! Ulisema tukiwafunga utaomba upigwe Ban ya wiki 1, So bila shaka unajua kinachoendelea, sasa Jiandae kwa hiyo BAAAN! Hahahaha simba bana
Ataungana na #KITOABU . Chezea Mnyama unyamani weye? Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom