Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

hii mechi imepangwa iwe hivii,simba atafunga magoli mawili kipindi cha kwanza ,Yanga watarudisha yote kipindi cha pilithen penati zitapigwa.hutaki unaacha
 
Mnyama unyamani, najua kipindi cha pili ndo huwa unafunga magoli mengi, 06-05-2012 ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili mlifunga goli nne, 20-10-2013 ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili mlifunga goli tatu; na siku nyingine dhidi ya Shandy uwanja wa Taifa ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili mlifunga goli tatu, kwa nini leo ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili msifunge japo goli mbili? Fanyeni kazi.
 
mpira haujaisha mkuu.., ingawa leo ni kama "sio sisi", naamin vijana wanaweza kurudi kivingine kama wakiamua.

Invisible ameshawasha taa nyekundu, dk 90 na matokeo yakiwa hivi unawekwa benchi wiki nzima.
 
Last edited by a moderator:
pata picha mkwe yanga af wewe simba unaangaliaje mpira kwa nidham hapo unashangilia kidogo af unazuga zitarud tu teh teh teh
 
hii mechi imepangwa iwe hivii,simba atafunga magoli mawili kipindi cha kwanza ,Yanga watarudisha yote kipindi cha pilithen penati zitapigwa.hutaki unaacha

sitaki ndiyo!! Ngoja tuone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…