Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyah umesema unakaaa kinondoni gani?
Kweli kabisa,namkumbuka alipiga klosi ikamkuta Ian Mancz akamtungua Tony Silva wa Senegal
Pole...mliwa-undermine sana vijana wa Msimbazi mkaanza kuzibua vizibo!!Duh leo full stress
Mkuu tunashinda, usikate tamaa.
Huku Ngasa, kule Okwi, hapa Niyonzima, pale Kiiza.
Ah Kiongozi, Upo?
luhende mzuri mkuu, sema ndio hivyo tena, kosa limetughalimu.
naona kama wachezaji wetu hawapo makini kabisa na hii mechi..mkuuHuyu coach naye amechemka, Simba wakiwa mbele wamefanya subs 2, Yanga tukiwa nyuma coach katulia.
Ombi...jaman pale pa mke wangu wekeni nam bet housegirl wetu
#Kitoabu ana kuita gerezani. Unamuwekea chizi dhamana ngoja ukaunywe uji Segerea. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhhmpira haujaisha mkuu.., ingawa leo ni kama "sio sisi", naamin vijana wanaweza kurudi kivingine kama wakiamua.
Gooooli. Tambwe. Na yanga hawawezagi kusawazisha.
hii mechi imepangwa iwe hivii,simba atafunga magoli mawili kipindi cha kwanza ,Yanga watarudisha yote kipindi cha pilithen penati zitapigwa.hutaki unaacha
Mkuu na wewe ni Simba? Ushindi una raha zake, anyway Simba hawajashinda, wanaongoza.