Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

..MTANI JEMBE, mpira ni mapumziko

Simba yuko mbele 2 kwa 0



 
Star Tv mitambo yao imekorofisha au ni kwangu tu.
 
Invisible ameshawasha taa nyekundu, dk 90 na matokeo yakiwa hivi unawekwa benchi wiki nzima.
half ya pili, tukirud tofauti, hilo benchi halinihusu mkuu..naona msuva na okwi wanaingia kuninusuru na ban!!!!
 
Last edited by a moderator:
Timu ikitulia magoli yatarudi hayo...kama Simba kaweza kwa nini Yanga ashindweee?

Yanga timu yangu ila hatuna historia hio..full majanga. Maana nyumbani huko mama na watoto wake wote simba..
 
mkuu kwani ni timu gani unashabikia?
 
kaseja katuuza, kaja yanga ili awapatie simba jeuri ya kutufunga, ni lazima kaseja awe benchi kipindi cha pili ndiyo mnyama aweze kukatwa shingo
Walishamuona wa NINI....kumbe nyie mnahangaika mtampata lini...haya sasa garasa hilo
 
Mpira Wa Misukule ya bagamoyo na Znz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…