Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never on EarthKwa hali niliyoiona hata saba zinawezekana.
Ha ha ha ha ha! Pole sana.
Haya tusubiri hizo 45.half ya pili, tukirud tofauti, hilo benchi halinihusu mkuu..naona msuva na okwi wanaingia kuninusuru na ban!!!!
Yanga timu yangu ila hatuna historia hio..full majanga. Maana nyumbani huko mama na watoto wake wote simba..
Mkuu tulia, mpira uchezwe.
Leo leo jmani
Naombeni updates ya yanga hiyo chanel siipat natumia tv ya kwenye gari
mkuu kwani ni timu gani unashabikia?
it is possible.Never on Earth
mwisho wa siku tusipoteane
ni maoni yangu MPAKA FT... YANGA 3-2 SIMBA
Leo Mnyama mwacheni afanye yake maana Kandambili walichonga sana. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhh
Jamani toeni updates wengine tuko porini,niko na kamchina kangu tu hapa nafuatilia..punguzeni tambo,leteni matokeo/kinachojiri..
Leo ndo mtaprove kwamba Okwi alikuwa anachezeshwa na Boban, Kazimoto na marehemu Mafisango, je mnao wachezaji wa namna hiyo ukizingatia na chuji ametoka.Okwi anaingia.
Nimekusms mbona hunijibu?