Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Leo Mnyama mwacheni afanye yake maana Kandambili walichonga sana. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhh
 
Yanga wanafanya sub..

Wanaingia Hassan Dilunga, Emmanuel Okwi na Simon Msuva...
 
Naombeni updates ya yanga hiyo chanel siipat natumia tv ya kwenye gari
 
Jamani toeni updates wengine tuko porini,niko na kamchina kangu tu hapa nafuatilia..punguzeni tambo,leteni matokeo/kinachojiri..
 
Nilitegemea kocha wa Yanga atamtoa Nadir Haroub na kumuingiza Rajab Zahir
 
Okwi anaingia.
Leo ndo mtaprove kwamba Okwi alikuwa anachezeshwa na Boban, Kazimoto na marehemu Mafisango, je mnao wachezaji wa namna hiyo ukizingatia na chuji ametoka.
 
Back
Top Bottom