Minaulizia kuhusu ahadi uliyo bet we unaniletea ya Ngwasuma? Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhhNjoo livingstone hapa studio tucheze Ngwasuma Mango garden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minaulizia kuhusu ahadi uliyo bet we unaniletea ya Ngwasuma? Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhhNjoo livingstone hapa studio tucheze Ngwasuma Mango garden
nini tena bibie...
hahahaah! Unaangalia na kumtania kabisa.pata picha mkwe yanga af wewe simba unaangaliaje mpira kwa nidham hapo unashangilia kidogo af unazuga zitarud tu teh teh teh
6 0 hiyo haiwezekani..endelea kujipa false hapa
Timu ikitulia magoli yatarudi hayo...kama Simba kaweza kwa nini Yanga ashindweee?
half ya pili, tukirud tofauti, hilo benchi halinihusu mkuu..naona msuva na okwi wanaingia kuninusuru na ban!!!!Invisible ameshawasha taa nyekundu, dk 90 na matokeo yakiwa hivi unawekwa benchi wiki nzima.
Simba 2 - 0 yanga.Wekeni na matokeo mbona porojo tu ??
Ah Kiongozi, Upo?
Star Tv mitambo yao imekorofisha au ni kwangu tu.
Timu ikitulia magoli yatarudi hayo...kama Simba kaweza kwa nini Yanga ashindweee?
Afadhali wamerudi.Star Tv mitambo yao imekorofisha au ni kwangu tu.
mkuu kwani ni timu gani unashabikia?Mpira Wa kijinga makocha matapeli na refa chizi!
Wewe mtu anacheza rafu ndani ya box Alafu beki Wa mwisho inatolewa penalt tu bila Kadi!
Yani Yani soccer Majanga na waamuzi Majanga!
Kamwe Hatuwezi kuendelea namna hii!
Wachezaji wenyewe Hawana mazoezii matozi vibaya!
Yani ni balaa
Star Tv mitambo yao imekorofisha au ni kwangu tu.
Walishamuona wa NINI....kumbe nyie mnahangaika mtampata lini...haya sasa garasa hilokaseja katuuza, kaja yanga ili awapatie simba jeuri ya kutufunga, ni lazima kaseja awe benchi kipindi cha pili ndiyo mnyama aweze kukatwa shingo
mwisho wa siku tusipoteane
ni maoni yangu MPAKA FT... YANGA 3-2 SIMBA