Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

mwisho wa siku tusipoteane
ni maoni yangu MPAKA FT... YANGA 3-2 SIMBA
Inawezekana pia, halina ubishi hilo. Mbona wapopoo walifungana 79-0 na 67-0...?
 
Natamani hii mechi ingekuwa ya ligi tungechukua pointi kirahisi kweli.
 
Yani hii mechi inanikumbusha enzi nzangu nikiwa makuzi, nakumbuka kulikua na kajimbo haka "Yanga kainama Simba kamtia dole" nime umiss sana wimbo huo. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Jamani toeni updates wengine tuko porini,niko na kamchina kangu tu hapa nafuatilia..punguzeni tambo,leteni matokeo/kinachojiri..

Porini unawinda Simba mkuu ama?
 
Bora tutoke hata droo, kupunguza machungu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…