Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Dakika ya 50
Simba 2-0 Yanga
Simba 2-0 Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia, halina ubishi hilo. Mbona wapopoo walifungana 79-0 na 67-0...?mwisho wa siku tusipoteane
ni maoni yangu MPAKA FT... YANGA 3-2 SIMBA
Four clubs involved in two play-off matches that ended 79-0 and 67-0 respectively - a total of 146 goals - have been suspended in Nigeria.
Plateau United Feeders were 79-0 victors over Akurba FC while Police Machine FC demolished Bubayaro FC 67-0.
"It is unacceptable - a scandal of huge proportions," said Muke Umeh, chairman of the Nigerian Football Federation (NFF) Organising Committee.
"The teams are suspended indefinitely, pending further sanctions."
it is possible.
Hahahaah! Habari mkuu. Na hapa upo wapi? Jangwani, msimbazi au..?Chelsea Fc
Simba 2 - 0 yanga.
kumbe upo??? naona umechomolewa na tambwe...!!naona Tambwe anawakatikia kama feni.jitahidi muuchomoe
mwekundu amemuweka mkewe rehani kwenye mechi ya leo, mambo yakiwa mabaya jangwani itabidi uchukue nafasi ya mke wa jamaa
Jamani toeni updates wengine tuko porini,niko na kamchina kangu tu hapa nafuatilia..punguzeni tambo,leteni matokeo/kinachojiri..
hii nadhani ni rekodi ya dunia.Inawezekana pia, halina ubishi hilo. Mbona wapopoo walifungana 79-0 na 67-0...?
Simba damu. Biashara asubuhi.
Tulichomoa tatu. Chomoeni hizo mbili kama mnaweza.
Simba timu, funga YeboYebo 6-0.
Sema hakyanani...!
Nilitegemea kocha wa Yanga atamtoa Nadir Haroub na kumuingiza Rajab Zahir
Never on Earth
Timu ikitulia magoli yatarudi hayo...kama Simba kaweza kwa nini Yanga ashindweee?
Mkuu furaha yako majonzi kwa wenzako. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhhNatamani hii mechi ingekuwa ya ligi tungechukua pointi kirahisi kweli.
Sana tu.Naona leo unafuraha sana
Natamani hii mechi ingekuwa ya ligi tungechukua pointi kirahisi kweli.