naona umeenda ng'ambo umeicha Yanga haya bana,ila jipe moyoChelsea Fc
Hahahaah! Habari mkuu. Na hapa upo wapi? Jangwani, msimbazi au..?
Bora tutoke hata droo, kupunguza machungu.!
Simba anaunguruma nchini Tanzania.
Natamani hii mechi ingekuwa ya ligi tungechukua pointi kirahisi kweli.
Droo itoke wapi?Bora tutoke hata droo, kupunguza machungu.!
Droo ya kabati au ile inayo shindanishwaga kwenye Vodacom?Bora tutoke hata droo, kupunguza machungu.!
Jiamini BroMimi ntaka matokeo ya mwisho tu nione Simba wameshinda ila kuangalia sitaki. Nina presha.
Naona kipindi cha pili mmeanza kwa kasi.
ashindwee tu! Kwani ye nani?
Mkuu hivi Yanga wanahistoria ya kuchomoa magoli ya Simba...? Naomba nipatie hiyo historia..