Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Hahahaah! Habari mkuu. Na hapa upo wapi? Jangwani, msimbazi au..?

Ni njema Mkuu!

Hapa Sina timu Mkuu Kwasababu Wote ni Majanga tu kidogo Kwa badae Naona Azam Fc wanaweza Kua wazuri na naweza kuwasaport
 
Mimi ntaka matokeo ya mwisho tu nione Simba wameshinda ila kuangalia sitaki. Nina presha.
 
Wachezaji wa Tanzania hawana kasi...au labda wamechoka 2nd HALF....sioni dalili za YAnga kurudisha. CHANONGO kajeruhhiwa amebebwa anatolewa nje dk ya 55
 
Yanga wanafanya sub..

Anatoka Nadir Haroub anaingia Juma Abdul

Twite anaenda kati, Abdul anaenda kulia..

Simba wanaanza kujisahau sasa

Dakika ya 55

Simba 2-0 Yanga
 
Hawa Simba mbona wajidondoka dondoka hovyo? Wanaharibu radha ya mpira.
 
Back
Top Bottom