Mechi hii itatupa jibu kamili ni washabiki wa timu gani ni walevi
Kila la heri Simba Sports Club, mnyama unyamani, wekundu wa Tanzania na Taifa kubwa toka mtaa maarufu wa Msimbazi katikati ya jiji, kamata hao ndala rarua, tafuna hadi wajue Simba hata akikonda vipi na kunyeshewa mvua na kujikunyata na kunyong'onyea hawezi kuwa paka ataendelea kuwa Simba tu na akiamua kukunjua makucha na kurarua madhara yake ni makubwa.
hivi sehemu zingine huwa Network inakubali, mimi huwa huu Uwanja ukijaa Network inasumbua sana.
Fanya mpango mkuu upate kibalii upande kule juu wanapokuwa watanzaji,kule net huwa iko poa!
Unategemea Kikosi gani kitakachoanza leo kwa upande wa Yanga?
KIKOSI CHA YANGA
1:Juma Kaseja,
2:Mbuyu Twite,
3:Luhende
4:Canavaro
5:Yondan
6:Chuji
7:Ngasa
8:Niyonzima
9:Kavumbagu
10😀ilunga
11:Okwi.
SUB:
1😀ida,
2:Juma Abdul
3:Oscar Joshua
4:Job
5😀omayo,
6:Msuva
7:Kiiza
Mkuu nawasilisha.
wakuu ni tv station gani itarusha moja kwa moja mechi hii?
Asante kwa taarifa mkuu.!!star Tv
kwani mpira unaanza saa ngapi kwa hapa Afrika Mashariki?????????
Yanga inashinda bao 2 kwa bila
YANGA timu, funga hao simba koko, goli 6 tu!
Here's Young Africans line-up to face Simba SC today on "Nani Mtani Jembe"
1.Juma Kaseja - 29
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C)
5.Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Athuman Idd " Chuji" - 24
7.Mrisho Ngassa - 17
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza - 20
11.Haruna Niyonzima - 8
Subs:
1.Deogratius Munishi "Dida" -30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Rajab Zahir - 14
5.Reliants Lusajo - 9
6.Nizar Khalfani - 16
7.Saimon Msuva
8. Hassan Dilunga - 26
9.Jerson Tegete - 10
10.Emmanuel Okwi - 25
11. Said Bahanuzi - 11
12.Hamis Thabit - 22
YANGA timu, funga hao simba koko, goli 6 tu!