Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Kila la heri Simba Sports Club, mnyama unyamani, wekundu wa Tanzania na Taifa kubwa toka mtaa maarufu wa Msimbazi katikati ya jiji, kamata hao ndala rarua, tafuna hadi wajue Simba hata akikonda vipi na kunyeshewa mvua na kujikunyata na kunyong'onyea hawezi kuwa paka ataendelea kuwa Simba tu na akiamua kukunjua makucha na kurarua madhara yake ni makubwa.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
hivi sehemu zingine huwa Network inakubali, mimi huwa huu Uwanja ukijaa Network inasumbua sana.

Fanya mpango mkuu upate kibalii upande kule juu wanapokuwa watanzaji,kule net huwa iko poa!
 
Unategemea Kikosi gani kitakachoanza leo kwa upande wa Yanga?

KIKOSI CHA YANGA

1:Juma Kaseja,
2:Mbuyu Twite,
3:Luhende
4:Canavaro
5:Yondan
6:Chuji
7:Ngasa
8:Niyonzima
9:Kavumbagu
10😀ilunga
11:Okwi.

SUB:

1😀ida,
2:Juma Abdul
3:Oscar Joshua
4:Job
5😀omayo,
6:Msuva
7:Kiiza

Mkuu nawasilisha.
 
KIKOSI CHA YANGA

1:Juma Kaseja,
2:Mbuyu Twite,
3:Luhende
4:Canavaro
5:Yondan
6:Chuji
7:Ngasa
8:Niyonzima
9:Kavumbagu
10😀ilunga
11:Okwi.

SUB:

1😀ida,
2:Juma Abdul
3:Oscar Joshua
4:Job
5😀omayo,
6:Msuva
7:Kiiza

Mkuu nawasilisha.

Mimi siwapendi ila Kaka wewe umezidisha, yaani Kaseja ndani Okwi ndani. Your prediction plz!!
 
Here's Young Africans line-up to face Simba SC today on "Nani Mtani Jembe"
1.Juma Kaseja - 29
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C)
5.Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Athuman Idd " Chuji" - 24
7.Mrisho Ngassa - 17
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza - 20
11.Haruna Niyonzima - 8

Subs:
1.Deogratius Munishi "Dida" -30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Rajab Zahir - 14
5.Reliants Lusajo - 9
6.Nizar Khalfani - 16
7.Saimon Msuva
8. Hassan Dilunga - 26
9.Jerson Tegete - 10
10.Emmanuel Okwi - 25
11. Said Bahanuzi - 11
12.Hamis Thabit - 22
 
Kila nikijaribu kuweka Picha inashindikana.
 
kwani mpira unaanza saa ngapi kwa hapa Afrika Mashariki?????????
 
Here's Young Africans line-up to face Simba SC today on "Nani Mtani Jembe"
1.Juma Kaseja - 29
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C)
5.Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Athuman Idd " Chuji" - 24
7.Mrisho Ngassa - 17
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza - 20
11.Haruna Niyonzima - 8

Subs:
1.Deogratius Munishi "Dida" -30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Rajab Zahir - 14
5.Reliants Lusajo - 9
6.Nizar Khalfani - 16
7.Saimon Msuva
8. Hassan Dilunga - 26
9.Jerson Tegete - 10
10.Emmanuel Okwi - 25
11. Said Bahanuzi - 11
12.Hamis Thabit - 22

Kwenye hicho kikosi nadhani Kaseja, Luhende, Canavaro, Chuji na Domayo wataturahisishia sana ushindi, naamini damu changa ya Mkude na Said Ndemla itatawala sana kiungo hivyo kurahisisha kumchanganya Luhende na Canavaro ambao wanapanic kirahisi, wakishapanic Kaseja hatakuwa na msaada kama alivyotarajiwa.
 
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi
ya Yanga:
1. Ivo Mapunda
2. Haruna Shamte
3. Issa Rashidi
4. Joseph Owino
5. Donald Mseti
6. Jonas Mkude
7. Haruna Chanongo
8. Henry Joseph
9. Hamisi Tambwe
10. Saidi Hamisi
11. Awadh Juma
Wachezaji wa Akiba:
1. Yaw Berko
2. Omary Salum
3. William Lusian
4. Ramadhan Chombo
5. Ramadhani Singano
6. Zahir Pazi
7. Amri Kiemba
 
Back
Top Bottom