Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu sio vizuri hivi mmetufunga lakini bado mnatushambulia tu hadi presha inapanda inashuka kuweni fair players wa simba soMetimes
kanichefua kweli kweli.hivi huyu Kaseja walimchukua wa nini
Mashabiki wa Yanga wamepoozaaaaa...
Ndo mpira huo...
Kaseja mpuuzi kweli yaani.
Hawezi kuuza mechi, tumezidiwa Wakuu, jamaa wanacheza vizuri.
Tatizo nyinyi Mpira wenu upo mdomoni wakati Mnyama anafanya kweli. R I P KITOABU wenzako tunafaidi huku. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
mwisho wa siku tusipoteane
ni maoni yangu MPAKA FT... YANGA 3-2 SIMBA