Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Ujue najisikia uchungu sana,halafu kaseja anafanya makusudi huyu mtu mimi nasemaga kila siku ni simba damu kwanini match kama ya leo asipigwe chini?

Kwahiyo na washambuliaji wako kina Okwi ni Simba ndio maana hawafungi?

Ukiwa CCM hadi ubongo unaoza.
 
Leo watu watazikana mpaka jezi walizovaa watadai siyo zao,chezea kufungwa ww,umevaa njano halafu useme ww siyo yanga wapi na wapi?
 
Choki yupo wapiii! SIMBA ANAUNGURUMA NCHINI TANZANIAAAAAAAAA!! naskia rahaaaaaaaaa utamuuuuuuu!
 
Kwa unazi kama ule wa raia wa Colombia , Kaseja kwa goli la tatu angehitaji ulizi wa polisi kwa mwezi mzima.

Nashukuru sana kwani watanzania hatuna ushabiki wa namna hiyo.
 
daa bora hata angedaka dida ndo angalau ila kaseja na bartez hamna kitu kabisa deo munishi ndo kipa tu hao wengine wana unazi na simba
 
Halafu sio vizuri hivi mmetufunga lakini bado mnatushambulia tu hadi presha inapanda inashuka kuweni fair players wa simba soMetimes
 
Azo mataa Azo kitaa!wapi Okwiiiiiii!Mmelia leo mnachonga saaana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mods naombeni mfungulie KITOABU japo kwa dakika hizi zilizo baki tu aje aone Mnyama anavyo fanya yake kisha mrudisheni gerezani.
 
Back
Top Bottom