Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

naona yanga kama wamelewa zle kilimanjaro za milion 95 maana sjui ni cret ngap





ahhaaaaa mtaniiii jembeeee
 
Choki mbona ni shoga atakufaa kweli? Bora mimi nina majinzi ya kipigo naweza nikakuungurumisha zaid ya mamtatu
 
My Arsenal has mountain to climb.....LiverPool 3-Cardiff 1
 
Kaseja galasa tu kama magalasa mengine.!!
 
Simba acheni mipira yakizamani......kuchelewesha muda kijinga tu
 
Nasema ukweli,mpira wa simba na yanga umejaa ushirikina tu! Hakuna ujuzi wala nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…