Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Kaseja leo katuuza this time aondoke kabisa hana tena ubunifu golini
Kwa mechi yake ya kwanza, hawezi kuuza, labda useme ametoa bure. Halafu Kaseja ni mwanachama wa Simba kabisa na kadi anayo, mechi kama hii ingetumika busara tu asipangwe hata kama ni mzuri kuliko magolikipa wote wanne
 
Simba bwana..hawana mbwembwe wala majigambo,lakini uwanjani..dah,RAHA TUPU..
 
Simba wanatakata sasa...

Zahoro Pazi anaingia anatoka Awadh Juma..Sub ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…