Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Manjiii....
Hata mshinde haiwasaidii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manjiii....
Kaseja galasa tu kama magalasa mengine.!!
Okwi wa sasa si kama yule wa enzi zile...
Kiwango chake cha kawaida sana...
Okwi wa sasa si kama yule wa enzi zile...
Kiwango chake cha kawaida sana...
pole sana ni wa jangwani au msimbazi?Daaah! Masikini mimi leo baba watoto cjui kama atarudi !!!
Kwa mechi yake ya kwanza, hawezi kuuza, labda useme ametoa bure. Halafu Kaseja ni mwanachama wa Simba kabisa na kadi anayo, mechi kama hii ingetumika busara tu asipangwe hata kama ni mzuri kuliko magolikipa wote wanneKaseja leo katuuza this time aondoke kabisa hana tena ubunifu golini
kanichefua vibaya sana.
shetani wa Mwigulu wewe,mtoke Simba na Rage wenu
hivi huyu Kaseja walimchukua wa nini
Hata mshinde haiwasaidii kitu
Tunaondoka na pesa.Hata mshinde haiwasaidii kitu
Ngassa nje...TEgete ndani dk ya 63