pole sana ni wa jangwani au msimbazi?
Kaseja Bora Hata ASWILE, Jembe Lile
Tunaondoka na pesa.
bado ngapi kumaliza mpira
Kurudi au kujirudia? Mzee usitusababishie matatizo ya afya, wengine hatuoni mechi hapa!Zile 5 zinaweza kujirudia leo
Katika watu ambao sikuwaamini na sikutaka wasajiliwe Yanga nihivi huyu Kaseja walimchukua wa nini
Okwi bado yuko fit...Ni muda tu..
Naomba kujuzwa,hivi mshindi wa mechi hii ya leo anapata zawadi gani?