Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

yanga wanajua kulewa tu,mambo ya kabumbu mwacheni mnyama simba. Hongereni yanga ila kumbukeni kuwa pombe si maji
 
Kwel yanga mil 93 simba mil 7. Si tutapewa mgao wetu kama kawa hata wakishinda.
 
sifurahii ushindi tu ukija,nafurahia kuvuta mkwanja nikiwa nimekaa.kiukweli yanga MTAANI JEMBE lakini Simba ndo MTANI JEMBE,ni babalao!
 
Yanga lazima warudishe ma3 kwani si Simba waliweza kurudisha last match! Ha ha haaaaaa! Waitor hebu niongezee ka tangawizi nipoze kakoo tena!
Manji kaondoka...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Rama Singano....Anaujua sana mpira huyu mtoto...Rage asije akamuuza tu$$
 
mtani naona leo furaha imekumiminikia.
 
hivi huyu Kaseja walimchukua wa nini
Katika watu ambao sikuwaamini na sikutaka wasajiliwe Yanga ni
huyu Kaseja. Hayuko serious kabisa,goli kama la
leo la tatu alishafungisha mara kadhaa nyuma akiwa Simba na Taifa stars!
 
mbna mimi nikisoma magazeti naonaga kama wachezaji wankiwango cha juu sana. Ni kinyume chake nipo hapa uwanjani na hakuna lolote la maana
 
Back
Top Bottom