Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Dk 24

MTANI JEMBE, Simba 1-0 Yanga
 
Simba ni tanuru, linapika wachezaji wanaiva kama dhahabu.
 
Simba tafuna hiyo kandambili ili tuzime hizi kelele humu ndani.

Hii ni Zawadi ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa mashabiki, wanachama na wapenzi wa SSC aka Taifa Kubwa...
Ila hapa najua Aden Rage, atapata pa kupumulia kwa "tambo na majigambo" kibaoooo...

Daylight dream. Utaduwaa leo wewe na Maharage wenu.
 
Back
Top Bottom