Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
kabisa mkuu, limevuruga hesabu kabisa.
Nikupe Kamba ujinyonge....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu, limevuruga hesabu kabisa.
Chocs match ka hii huwa naamia pande hizi..........Hahaa,lols
Tambo za Yanga kurudisha 5-0 kwa Simba zimeyeyuka.Dk 23
Simba 1-0 Yanga
Usiondoke jf utapata update zote
hamkujua kuwa kuna matendo ya kutoa eehkabisa mkuu, limevuruga hesabu kabisa.
Hawa yanga watafukuzana sana tu.
asante mamy nimeshatune kwa raha zangu.
Simba tafuna hiyo kandambili ili tuzime hizi kelele humu ndani.
hamkujua kuwa kuna matendo ya kutoa eeh
he heee naogopa hao simba hawakawii kuvunja viti na mambo yakawa tafrani uwanjan.
Tambo za Yanga kurudisha 5-0 kwa Simba zimeyeyuka.
nimeshaona ni star tv mkuu.
Hii ni Zawadi ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa mashabiki, wanachama na wapenzi wa SSC aka Taifa Kubwa...
Ila hapa najua Aden Rage, atapata pa kupumulia kwa "tambo na majigambo" kibaoooo...