Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

hii mechi imepangwa iwe hivii,simba atafunga magoli mawili kipindi cha kwanza ,Yanga watarudisha yote kipindi cha pilithen penati zitapigwa.hutaki unaacha
Haiwezi ikawa hivi wewe...!
 
hii mechi imepangwa iwe hivii,simba atafunga magoli mawili kipindi cha kwanza ,Yanga watarudisha yote kipindi cha pilithen penati zitapigwa.hutaki unaacha
Huo UCHAFU huwa unafanywa na YANGA tu kuachia beki ifungwe whatever goals...kumbuka KASEJA ana kashfa kubwa ya KUHONGWA...(changanya za mbayuwayu)
 
Wewe unaacha kupitia thread zinazoendelea unakimbilia kuanzisha uzi mpya! Usituongezee machungu humu!
 
Back
Top Bottom