Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Nadhani watani majembe mtasahau machungu ya RAGE sasa...Long live Ismail Aden Rage
 
Hivi mchezaji akionyeshwa red card na medali havishwi kumbe, nilikwa sijawahi kufuatilia hili.
 
Huyu jamaa sijui Ana hali gani leo??
 

Attachments

  • 1387638876997.jpg
    1387638876997.jpg
    46.9 KB · Views: 110
Kwa kweli Musoti bonge la beki, utani sio ugomvi itabidi tuwaazime Yanga wachezaji watatu siku watakapocheza na Al-Ahyl. Tutawapa Mapunda kwa ajili ya kuimarisha langoni, Tutawapa Musot kwa ajili ya kuimarisha safu ya Ulinzi na tutawapa Mkude maana sahivi mnaonekana mna tatizo la kiungo wa dimba la chini, mkitaka tutawapa na Singano pamoja Tambwe ili wasaidiane na Okwi pale mbele kuleta magoli.
 
Back
Top Bottom