ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
mbona hujaweka ft results mkuu..Updates:
Hadi Mapumziko: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 50: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 63: Simba 3 - 0 Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hujaweka ft results mkuu..Updates:
Hadi Mapumziko: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 50: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 63: Simba 3 - 0 Yanga
Kumbuka Jembe linatoka a milioni 100 Kuboost team...Jipangekwanza hii si ilikuwa bonanza tu.
Jibu sms zangu tafazali.
hiyo hujuma kwa kaseja..
Duh.......leo hatari.......Yanga wamesepa mapema........
Hivi hajajinyonga huyu.
kama ile Penati ni uzembe kabisa wa Beki, huyu Kaseja ningekuwa karibu ningemchapa kofi.
Kwani Okwi hachezi? ha haaaaa
Siku zote nafasi za magoli hutegemea uzembe...
Kumbuka Jembe linatoka a milioni 100 Kuboost team...Jipange
Panakalika?
Halafu Tigo wananiboa na Komodem chao.....huku tufungwe bado kimtandao chao\
kinizingue Kudadadeki zao