Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Safi sana Misri, sasa timu malinzi rudini kwenye kutafuna pesa za shirikisho na kukomalia madaraka huku ligi ikiendelea kuwa mbovu mbovu mbovu.
 
kiukweli huyu mchezaji wa yanga MWINYI amenikera siku ya leo,mtu anakaa benchi kwenye klabu leo anaanzishwa
 
Ila angalau sikuhizi hata pasi tatu complete tunapiga.. Ila zamani hata pasi ilikuwa tatizo.. Mpira ulikuwa unabutuliwa mbele kwa mbele tukagombanie goli
 
Breaking news:Jecha kufuta matokeo ya mechi hi ya leo na Itatangazwa tar rasmi ya mechi hiyo kurudiwa na itapangwa pale Msoga stadium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…