Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kupigwa faini kuliko hii aibu.!Unaandika tu ili mradi or? Unajua kujitoa unapigwa fine ya dola ngapi?
Nasikia teja piakiukweli huyu mchezaji wa yanga MWINYI amenikera siku ya leo,mtu anakaa benchi kwenye klabu leo anaanzishwa
Wapi huko? Katika timu ya MisriKila anaengia na anaetoka mohamed tu...
Ndio mkuuTumeishia hapa mwisho wa kunukuu.
Yaani unatakiwa uwekezaji na uangalizi mkubwa sio mchezo mambo haya ni sawa na kutaka kufika penye kilele cha mnazi hakuna njia ya mkato hapoNdio mkuu
Wapi huko? Katika timu ya Misri
Mafirauni wametufira.... UNI
Bora kujitoaBora kupigwa faini kuliko hii aibu.!
Ndo taifa stars hiyoHatuchomoki mkuu