Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Hahaaaaaa unanapiga penati kama unapiga faulo iliyo nije ya boksi. ... binafsi sikuliunga mkono jambo la Samatha kupewa ukaptain
 
naomba kufahamu je uwanja wa Taifa umejaa? Kufungwa pia chanzo kingine ni moyo wa ushabiki uwanjani na idadi ya wananchi, kitu ambacho nchi nyingi ukitumia kama silaha ya ushindi.
 
Mchezaji namba moja wa Taifa anapiga penalt kipuuzi kabisa.. Hakuna kitu hapo
 
Udhamini si tatizo kubwa sana ... tatizo naona ni mfumo wa uandaji ni vigumu timu yetu kuchukua risk ya wachezaji wapya .... Serengeti huishia wapi?

Malinzi ni mpuuzi kabisa
Uko sahihi mkuu, ona wachezaji hawana morari kabisa. Wanacheza bora liende tu. Wamemfanyia figisu kanavaro, wakanyang'anya ukepten kinyemela, leo eti wanambembeleza aje acheze mechi kama ya leo. Namsifu kwa kuwatosa. Malinzi muhuni sana.
 
Misri gooooooo!
Mohamed anaiandikia Misri bao safi sana la pili.

Tuendelee.
 
Uko sahihi mkuu, ona wachezaji hawana morari kabisa. Wanacheza bora liende tu. Wamemfanyia figisu kanavaro, wakanyang'anya ukepten kinyemela, leo eti wanambembeleza aje acheze mechi kama ya leo. Namsifu kwa kuwatosa. Malinzi muhuni sana.
Huyu boya katuharibia mpira kabisa .... bora wajitoe kama wenzao kutulindia heshima .... canavaro ananikumbusha walivyogawana kule Kenya bila kuzipeleka ZFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…