Nyambafu mleteni jecha afute matokeo...hebu acheni tabia za kike hizi!! mlitaka huyo canavaro awe captain milele? bullshit!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyambafu mleteni jecha afute matokeo...hebu acheni tabia za kike hizi!! mlitaka huyo canavaro awe captain milele? bullshit!
Leo sijui hawa wachezaji vipi.! Hata Juma Abdul Leo hamna kitu kabisa.!Kumbe kuna wachezaji hewa!! uyu Haji Mwinyi ndio katufungisha haya magol mawili
Ndio maana tunasema imefungwa Azam na YangaMchezaji anakaa benchi kwenye Club yake lakini Timu ya Taifa yupo First Eleven,only in Tanzania.
Nasi tujitoe tu.!Bora hata Chad wamejitoa kishujaa kuliko huu uozo wa Mkwasaa
Nasi tujitoe tu.!
Nafikiri hiyo ndio solution, tujipange kwa miaka 5Nasi tujitoe tu.!
kwa ubahili wa Magu hakuna namnaNafikiri hiyo ndio solution, tujipange kwa miaka 5
Hivi hiyo ni yanga au Taifa Stars...