Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
HatariiiiiHahahahahahahahahahahHhahahHHbBBbBb,zamu ya Nani leooooowooooo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariiiiiHahahahahahahahahahahHhahahHHbBBbBb,zamu ya Nani leooooowooooo?
Asante mkuu. Japo changamoto nyingi zinakuwa, nimekuona hapo online na Yanga mwenzako kindakindaki [emoji16] [emoji16]Hongera zako Mtani kwa kujitolea kutupa Updates.
Nakutegemea na kesho. [emoji12] [emoji12]
Rafiki umeshakwisha mpira.Ameenda kuzamia huko anatafuta kamba koche mpira umemshinda
Tumshukur mungu..... Yanga rahaaaaaaRafiki umeshakwisha mpira.
Asante mkuu. Japo changamoto nyingi zinakuwa, nimekuona hapo online na Yanga mwenzako kindakindaki [emoji16] [emoji16]
Mtani kesho kama desturi tumezoea ushindi. This is Simba
Raha sana yaaani. Mdogo mdogo hatuna papara sie. Hahaaaa.Tumshukur mungu..... Yanga rahaaaaaa
Insha'Allah.. Panapo majaaliwaa hapo kesho mungu atakupa uzima. Leo una furaha sana [emoji16] [emoji16]Hahaa. Changamoto hazikwepeki Mkuu. Mie huwa sina uoga aisee kama nina nafasi ya kuingia jf sioni shida kusimama kwenye timu niipendayo toka moyoni mpaka dk ya mwisho.
Nakutegemea. Nitakuwepo panapo Uzima Insha Allah yaani nitawahi siti mapema na Dada yangu Shunie nitamshikia nafasi pia. [emoji85] .
Kila la kheri.
Sanaa yaani. Nikikumbuka na game ya Azam basi najiona sikukosea kuipenda Yanga. [emoji85].Insha'Allah.. Panapo majaaliwaa hapo kesho mungu atakupa uzima. Leo una furaha sana [emoji16] [emoji16]
Haya uendelea kufurahia sambamba na zeshchriss, Sibonike, demigod pamoja na mwenyewe emmyta.Sanaa yaani. Nikikumbuka na game ya Azam basi najiona sikukosea kuipenda Yanga. [emoji85].
Ila timu hizi zinataka moyo wa chuma saa nyingine sababu hazieleweki kabisa muda mwingine.
Haya uendelea kufurahia sambamba na zeshchriss, Sibonike, demigod pamoja na mwenyewe emmyta.
Kesho furaha kwa timu ushindi mnyama mkali kuliko wote mwituni SSC.. OKW SUNZU BOBAN, Shunie, Sembo, barafuyamoto, King Ngwaba na wengine.
Kwani kuna jipya lolote humu?? Simba si ndio inaongoza ligi licha ya kuwa na mchezo mmoja mkononi dhidi ya ndala??Hahaaa. Umenikumbusha huyo jamaa hapo chini barafuyamoto leo sijamuona kabisa au mpaka icheze Simba ndio anaonekana.
Shukrani sana Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kesho anauliwa mtu na mnyama, kama kawa, sijui zitakuwa nne au mbili??Haya uendelea kufurahia sambamba na zeshchriss, Sibonike, demigod pamoja na mwenyewe emmyta.
Kesho furaha kwa timu ushindi mnyama mkali kuliko wote mwituni SSC.. OKW SUNZU BOBAN, Shunie, Sembo, barafuyamoto, King Ngwaba na wengine.
Hahaaaa. Ghazwat haya ndio niliyakosa kutoka kwa barafuyamoto.Kwani kuna jipya lolote humu?? Simba si ndio inaongoza ligi licha ya kuwa na mchezo mmoja mkononi dhidi ya ndala??
Au mwasemaje??
Hahaaa. Shukrani sana Mtani.Hongera Yanga kwa ushindi wa leo, hongereni wana Yanga ila ubingwa msahau.